mkutano mkubwa wa injili tar 3 hadi 10/4/2016.
magari saba kuanzia saa kumi jioni
THE HARVEST OF JESUS CHIRST CHURCH INTERNATIONAL
Thursday, 31 March 2016
Tuesday, 29 March 2016
IBADA YA PASAKA
SNP.L.A.WILLIAM
SOMO:HAYA NI MAJIRA YA KUPAMBANUA NA KUJIPAMBANUA.
TAR :27/03/2016
Kupambanua ni eneo la msingi sana.Dhambi ya mtu huya pale anapofikia kujua kupambanua mema na mabaya.
1 wakorintho 11 :29-31
Roho mtakatifu anatifundisha kupambanua kila roho,kupambanua mwili wa kristo.
kupambanua kunampa mtu kujua kuishi bila kupotea.kupambanua huleta kujua nyakati.lazima kujua kupambanua mana tunaishi katika maisha ya kujua kupambanua.
Muhimu kupambanua juu ya haja za moyo wako mana wewe sio Mungu.
*kuna uzima ndani ya kupambanua
*kuna akili, kibali ndani yakupambanua n.k.
watu wengi waliotumiwa na Mungu alikuwa wanajua kupambanua yani nikung'ang'ania kitu mbaka ujue nini kusudi lake.
yona 4:11
yona anaongra juu ya kupambanua mkono...
Muhubiri 2:12
kupambanua hekima na wazimu na upumbavu
2 swamwel 14:17
kupambanua memoa na mabaya
*kupambanua huleta ushindi.
Ezekiel 22:26
kufundishwa kupambanua vitu vilivo safi na vichafu.na vitu vitakatifu na vya kutumia siku zote.
*kupambanua huleta maarifa
CHEK US ON:YOUTUBE@Hcc international tv
:blog @hccinternational.blogspot.com
:gmail @the harvest of jesus christ@gmail.com
:facebookpage@the harvest of jesus christ church int.
:intagram @ mavuno hcc
Tel no.0653 830567,0784 986631.
Friday, 25 March 2016
SEMINA SIKU YA TANO
SNP:L.A.WILLIAM
SOMO:USHINDI KWA SADAKA YA MILIMANI.
TAR.25/03/2016.(ijumaa kuu)
Mungu alipendezewa na sadaka za mlimani.Na sadaka nyingi za agano la kale zilitolewa mlimani.
mfano wa sadaka izo.
mwanzo 8:4
Nuhu alitoa sadaka mlimani ma Mungu akaipokea na kueka agano juu ya mvua
mwanzo 22:1-12
Ibrahimu akitaka kutoa sadaka ya mlimani (kumtoa isaka mwanae)
sadaka yalimami ni sadaka yenye nguvu sana.Ndani yake imo amani upo ushindi.
1 wafalme 18:17-23
elia akijenga madhabahu ya Bwana
* madhabahu ndio inayomshibisha mtu wala sio mtu kumshibisha mtu.
*zipo madhabahu zakunyang'anya vipawa na karama za watu.
waebrania 10:1-10,17-20
yohans 19:16-20
Yesu anapelekwa goligotha kusurubiwa
wakamchanganya na waovu......
ombi: KUONDOA HUKUMU ZA KUCHANGANYWA NA WAOVU.
CHEK US ON:YOUTUBE@Hcc international tv
:blog @hccinternational.blogspot.com
:gmail @the harvest of jesus christ@gmail.com
:facebookpage@the harvest of jesus christ church int.
:intagram @ mavuno hcc
Tel no.0653 830567,0784 986631.
SEMINA SIKU YA NNE
SNP.L.A.WILLIAM
SOMO:UKAMILIFU WA KANISA.(Kunyamazisha sadaka ya milimani)
TAR.24/03/2016
kila kanisa lazima liwe ma madhabahu ma kila madhabahu ili ikamilike lazima kuwe na kuhani wa madhabahu.
waebrania 12:18-29
maana humkufikiria mlima uwezao kuguswa,uliowaka moto,wala wingu jeusi na giza na tufani......
2 Nyakati 16:9
kwa maana macho ya BWANA hukimbia kimbia duniani mwote ili ajioneshe mwenye mguvu kwa ajili ya hao,waliokamilika.........
waebrania 7 :28
maana torati yawaweka wanadamu walio na unyonge kuwa na makuhani wakuu........
luka 13:32
CHEK US ON:YOUTUBE@Hcc international tv
:blog @hccinternational.blogspot.com
:gmail @the harvest of jesus christ@gmail.com
:facebookpage@the harvest of jesus christ church int.
:intagram @ mavuno hcc
Tel no.0653 830567,0784 986631.
Wednesday, 23 March 2016
SEMINA SIKU TATU
SNP.L.A.WILLIAM
SOMO:KURUDISHA MAHALI PA JUU PA PAKUU PA KANISA.
TAR:23/03/2016.
Unaweza dhani ahetani ndo anamahali pa juu pa uovu wake ila shatani uwa ana hamisha kutoka sehemu ya utukufu kwenda kwake.
Ezekiel 36:1-4
kanisa lilipoteza mahali pake pa juu sababu hapakuwa na mtu wa kuuliza wala kwenda kwenye mahali pa juu.kanisa liliacha madhabahu ya mwanzo yenye nguvu ndo ile ya kanisa la mitume.
Mathayo 21:12
Yesu akaingia ndani ya hekalu........
hii ilikuwa nyumba ya BWANA ila watu walipoacha kuabudu kuwacha moto, tayari likawa soko.Mungu awezi kukubali nyumba yake iwe soko...
ndivo ilivo ata kwenye karama zetu tusipozitumia kweli kweli shetani anauwezo wakuzichukua na kuzitumia katila falme zake.
kanisa aliruhusiwi kuwa la kawaida ibada zake zinatakiwa ziwe na moto wa Mungu.Kanisa lilifanywa kuwa la kawaida ili watu wamzooe Mungu na mwishoe wasimuone Mungu katika maisha yao.
kanisa limepoteza kumcha BWANA,hakuna ule moyo ya kumwogopa Mungu,moyo wa shukrani n.k.
yale makanisa ya mwanzo ya mitume leo yamekuwa nyumba za historia.
mfano wa makanisa ya zamani
1 samwel 1:1
Na mtu huyo alikuwa akikwea kutoka mjini kwake mwaka kwa mwaka,ili kuabudu,na kumtolea BWANA wa majeshi dhabihu katika shiro.
matendo 8:27-32
matendo 2:5
watu wakila taifa walikusanyika kwenda na kuabudu
1 wafalme 8:22-41
suleimani akiweka wakfu madhabahu ya BWANA.
UJUMBE KUTOKA KWA BWANA.
.Hagai 2:4-5
.Nahumu 2:1-2
MUNGU KURUDISHA FAHARI YA KANISA.
Matendo 15:1-2
KURUDISHA UWEZA WA KANISA.
CHEK US ON:YOUTUBE@Hcc international tv
:blog @hccinternational.blogspot.com
:gmail @the harvest of jesus christ@gmail.com
:facebookpage@the harvest of jesus christ church int.
:intagram @ mavuno hcc
Tel no.0653 830567,0784 986631.
SEMINA SIKU YA PILI
SNP.L.A.WILLIAM
SOMO:KUNYAMAZISHA SADAKA ZA MAHALI PA JUU KATIKA MAISHA YANGU.
TAR:22/03/2016
kuna sadaka ambazo zinatolewa katika mahali pa juu pa kuu pa maisha yako.
1 wafalme 3:1-4
huyo suleimani akafanya ujamaa na farao,mfalme wa misri,akamwoa binti yake farao,akamleta mjiniwa daudi,hata alipokwisha kuijenga nyumba yake,na nyumba ya BWANA na ukuta wakuuzunguka yerusalemu........
isaya 24:21-23
Tena itakuwa katika siku hiyo,BWANA ataliadhibu jeshi la mahali palipo juu katika mahali palipo juu na wafalme wa dunia katila dunia.
Vifungo vingi vikiwa vigumu ni kutoka na kufungwa na mashatani wa madhabahu ya mahali pa juu.
Ombi: kuangusha mahali pa juu palipo juu pa uovu katika maisha yako.
kunyamazisha sadaka za mahali pa juj pa uovu.
CHEK US ON:YOUTUBE@Hcc international tv
:blog @hccinternational.blogspot.com
:gmail @the harvest of jesus christ@gmail.com
:facebookpage@the harvest of jesus christ church int.
:intagram @ mavuno hcc
Tel no.0653 830567,0784 986631.
Monday, 21 March 2016
SEMINA SIKU YA KWANZA
SEMINA YASIKU YA KWANZA WIKI YA PASAKA.
SNP.L.A.WILLIAM
SOMO:NGUVU YA SADAKA YA MLIMANI
TAR:21/03/2016
Kila kitu hapa duniani ambacho mwanadamu atakibeba kama sadaka au kukiteuwa kama sadaka na kukinenea kama sadaka kwa ajili ya jambo fulani ndivo sadaka itakavyofanya sawa sawa na kusudio la mtoaji.Lile neno unalolitamka ndilo linalovika nguvu sadaka. mfno:-SADAKA YA SHUKRANI
SADAKA YA AMANI n.k
Na nikosa kutoa sadaka bila kujua inatolewa kwa ajili ya kusudi gani.
*ipo nguvu ya sadaka ya milimani.
kama ilivo mvua uanzia milimani ndivo sadaka zitolewavzo mlimani zinauwezo wakukubalika kwa haraka kuliko za chini ya mlima.Ndivo shetani nae alivoamua kujenga madhabahu zake milimani ilikkuweza kuteka uwanda wa chini.
kama ilivo Yesu kristo alisulubiwa mlimani ili damu ije chini kuleta utakaso.
mfan:-maji ni rahisi kutoka mlimani kushuka chini ila si jambi rahisi maji kupanda mlima na ndo sababu kuna tofauti kati ya madhabahu za milimani na tambalale.
Hesabu 22:15-
shetani anajua kila kilichinuliwa kina nguvu.
1 samwel 9 :11-14
1 wafalme 3:1
*vifungo vinatofautiana vya milimani.
1. aliefungwa inchi tambalare
2. aliefungwa kwatika uwanda wa mlima
3. aliefungwa mahali pa juu pa kuu pa mlima
*Yesu alisulurubiwa msalabani ili kuzishindwa hukumu na madhabahu za giza.
*koo nyingi zefungwa na sadaka za uovu ya milimani
hesabu 33:50-52
NB:KUVUNJA MAHALI PA JUU PALIPOINUKA PA UOVU
CHEK US ON:YOUTUBE@Hcc international tv
:blog @hccinternational.blogspot.com
:gmail @the harvest of jesus christ@gmail.com
:facebookpage@the harvest of jesus christ church int.
:intagram @ mavuno hcc
Tel no.0653 830567,0784 986631.