SNP:L.A.WILLIAM
TAR:13/03/2016
SOMO:BIBLIA NI NENO LA MUNGU LIPASWALO KUOGOPWA NA KUTUKUZWA.
Bilblia ni neno la Mungu ni sauti ya Mungu,wakristo wengi ndio wa kwanza kuidharau biblia,Ni muhimu kuheshimu biblia.
Kanisa la leo linapotea sababu watu wengi wanaidharau biblia na kuhamisha maneno ya Mungu kuwa ya mwanadamu.Na wakristo wengi awana nafasi ya kusoma biblia bali wananafasi ya kusoma vitabu ya kawaida na magazeti.
yohana 1:1
hapo mwanzo palikuwa na neno nae neno alikuwa kwa Mungu
ufunuo 19:13
nae amevikwa vazi lililochovywa katika kwa damu jina lake aliitwa neno la Mungu.
wakristo wengi awapendi kubeba biblia.kuna tofauti kubwa kati ya biblia ya smart phone na physical bible.
MAJINA YA BIBLIA KABLA IJAITWA BIBLIA.
zaburi 40:7
Ndipo niliposema,Tazama nimekuja(katika gombo la chuo nimeandiwa)
Ezekieli 3:1-3
Akaniambia,Mwanadamu,kula uonacho;kula gombo hili.........
BIBLIA INAITWA CHUO
zaburi 139:16
matendo 1:20
ufunuo 1:11
AINA ZA BIBLIA
kuna biblia ya toleo mwaka 1967 na 1997 apo ni biblia sahihi.ila copy zimekuwa nyingi mno mfano ;MIKA 4:11 inaonesha utofauti wa biblia sio shari bali ni sari yani UTUPU.
* LAZIMA KILA MTU KUTENGA MUDA WA KUSOMA BIBLIA.
*Malaika wanafanya kazi kwa maandiko,shetani anaogopa maandiko
MUNGU ANAONYA JUU YA KUDHARAU NENO LAKE.
Isaya 5:24
Mungu ameweka moto na shika kuu sababu ya kudharau na kukataa neno la Mungu......yapo mapigo
isaya 28:22
Basi sas msiwe watu wakudharau,vifungo vyenu msije vikakazwa......
1 wakorintho 11:22
je!Hamna nyumba za kulia na kunwea?au mnadharau kanisa la Mungu.........
waebrania 10:28-29
kumfanyia jeuri ROHO wa neema.... .
***KUWA MAKINI NA MITANDAO MENGI YANAPOTEZA NA MAANDIKO ..
**** MUHIMU KUSOMA MAANDIKO.
CHEK US ON:YOUTUBE@Hcc international tv
:blog @hccinternational.blogspot.com
:gmail @the harvest of jesus christ@gmail.com
:facebookpage@the harvest of jesus christ church int.
:intagram @ mavuno hcc
Tel no.0653 830567,0784 986631.
No comments:
Post a Comment