Monday, 21 March 2016

SEMINA SIKU YA KWANZA

SEMINA YASIKU YA KWANZA WIKI YA PASAKA.
SNP.L.A.WILLIAM
SOMO:NGUVU YA SADAKA YA MLIMANI
TAR:21/03/2016

   Kila kitu hapa duniani ambacho mwanadamu atakibeba kama sadaka au kukiteuwa kama sadaka na kukinenea kama sadaka kwa ajili ya jambo fulani ndivo sadaka itakavyofanya sawa sawa na kusudio la mtoaji.Lile neno unalolitamka ndilo linalovika nguvu sadaka. mfno:-SADAKA YA SHUKRANI
                           SADAKA YA AMANI n.k
Na nikosa kutoa sadaka bila kujua inatolewa kwa ajili ya kusudi gani.

*ipo nguvu ya sadaka ya milimani.

             kama ilivo mvua uanzia milimani ndivo sadaka zitolewavzo mlimani zinauwezo wakukubalika kwa haraka kuliko za chini ya mlima.Ndivo shetani nae alivoamua kujenga madhabahu zake milimani ilikkuweza kuteka uwanda wa chini.
        
            kama ilivo Yesu kristo alisulubiwa mlimani ili damu ije chini kuleta utakaso.
mfan:-maji ni rahisi kutoka mlimani kushuka chini ila si jambi rahisi maji kupanda mlima na ndo sababu kuna tofauti kati ya madhabahu za milimani na tambalale.
   
                           Hesabu  22:15-
  shetani anajua kila kilichinuliwa kina nguvu.

                           1 samwel 9 :11-14
                           1 wafalme 3:1

*vifungo vinatofautiana vya milimani.
                 1. aliefungwa inchi tambalare
                 2. aliefungwa kwatika uwanda wa mlima
                 3. aliefungwa mahali pa juu pa kuu pa mlima
 
*Yesu alisulurubiwa msalabani ili kuzishindwa hukumu na madhabahu za giza.
*koo nyingi zefungwa na sadaka za uovu ya milimani

                            hesabu 33:50-52

NB:KUVUNJA MAHALI PA JUU PALIPOINUKA PA UOVU

CHEK US ON:YOUTUBE@Hcc international tv
                         :blog @hccinternational.blogspot.com
                         :gmail @the harvest of jesus christ@gmail.com
                         :facebookpage@the harvest of jesus christ church int.
                         :intagram @ mavuno hcc
Tel no.0653 830567,0784 986631.

No comments:

Post a Comment