SNP.L.A.WILLIAM
SOMO:HAYA NI MAJIRA YA KUPAMBANUA NA KUJIPAMBANUA.
TAR :27/03/2016
Kupambanua ni eneo la msingi sana.Dhambi ya mtu huya pale anapofikia kujua kupambanua mema na mabaya.
1 wakorintho 11 :29-31
Roho mtakatifu anatifundisha kupambanua kila roho,kupambanua mwili wa kristo.
kupambanua kunampa mtu kujua kuishi bila kupotea.kupambanua huleta kujua nyakati.lazima kujua kupambanua mana tunaishi katika maisha ya kujua kupambanua.
Muhimu kupambanua juu ya haja za moyo wako mana wewe sio Mungu.
*kuna uzima ndani ya kupambanua
*kuna akili, kibali ndani yakupambanua n.k.
watu wengi waliotumiwa na Mungu alikuwa wanajua kupambanua yani nikung'ang'ania kitu mbaka ujue nini kusudi lake.
yona 4:11
yona anaongra juu ya kupambanua mkono...
Muhubiri 2:12
kupambanua hekima na wazimu na upumbavu
2 swamwel 14:17
kupambanua memoa na mabaya
*kupambanua huleta ushindi.
Ezekiel 22:26
kufundishwa kupambanua vitu vilivo safi na vichafu.na vitu vitakatifu na vya kutumia siku zote.
*kupambanua huleta maarifa
CHEK US ON:YOUTUBE@Hcc international tv
:blog @hccinternational.blogspot.com
:gmail @the harvest of jesus christ@gmail.com
:facebookpage@the harvest of jesus christ church int.
:intagram @ mavuno hcc
Tel no.0653 830567,0784 986631.
No comments:
Post a Comment