SNP.L.A.WILLIAM
SOMO:KURUDISHA MAHALI PA JUU PA PAKUU PA KANISA.
TAR:23/03/2016.
Unaweza dhani ahetani ndo anamahali pa juu pa uovu wake ila shatani uwa ana hamisha kutoka sehemu ya utukufu kwenda kwake.
Ezekiel 36:1-4
kanisa lilipoteza mahali pake pa juu sababu hapakuwa na mtu wa kuuliza wala kwenda kwenye mahali pa juu.kanisa liliacha madhabahu ya mwanzo yenye nguvu ndo ile ya kanisa la mitume.
Mathayo 21:12
Yesu akaingia ndani ya hekalu........
hii ilikuwa nyumba ya BWANA ila watu walipoacha kuabudu kuwacha moto, tayari likawa soko.Mungu awezi kukubali nyumba yake iwe soko...
ndivo ilivo ata kwenye karama zetu tusipozitumia kweli kweli shetani anauwezo wakuzichukua na kuzitumia katila falme zake.
kanisa aliruhusiwi kuwa la kawaida ibada zake zinatakiwa ziwe na moto wa Mungu.Kanisa lilifanywa kuwa la kawaida ili watu wamzooe Mungu na mwishoe wasimuone Mungu katika maisha yao.
kanisa limepoteza kumcha BWANA,hakuna ule moyo ya kumwogopa Mungu,moyo wa shukrani n.k.
yale makanisa ya mwanzo ya mitume leo yamekuwa nyumba za historia.
mfano wa makanisa ya zamani
1 samwel 1:1
Na mtu huyo alikuwa akikwea kutoka mjini kwake mwaka kwa mwaka,ili kuabudu,na kumtolea BWANA wa majeshi dhabihu katika shiro.
matendo 8:27-32
matendo 2:5
watu wakila taifa walikusanyika kwenda na kuabudu
1 wafalme 8:22-41
suleimani akiweka wakfu madhabahu ya BWANA.
UJUMBE KUTOKA KWA BWANA.
.Hagai 2:4-5
.Nahumu 2:1-2
MUNGU KURUDISHA FAHARI YA KANISA.
Matendo 15:1-2
KURUDISHA UWEZA WA KANISA.
CHEK US ON:YOUTUBE@Hcc international tv
:blog @hccinternational.blogspot.com
:gmail @the harvest of jesus christ@gmail.com
:facebookpage@the harvest of jesus christ church int.
:intagram @ mavuno hcc
Tel no.0653 830567,0784 986631.
No comments:
Post a Comment