SOMO: SAA IMEFIKA DUNIANI YAKUACHA KUABUDU MILIMA YA UHARIBIFU.
SNP:L.A.WILLIAM
TAR: 28/02/2016
SHUHUDA ZA LEO:CHEK IT ON YOUTUBE-HCCINTERNATIONAL TV.
Yohana 4:20-26
yesu alikuwa anaongea na mwanamke kisimani kuwa saa imefika ya kuacha kuabudu milimani imefika.
NENO LIMETIMIA DUNIANI LEO.
Tuone milima katika biblia
Ezekiel 28: 14
Wewe ulikuwa kerubi mwenye kutiwa mafutaafunikae;nam nilikuweka hata ukawa juu ya milima......
shetani alipoumbwa alipewa uwezo wa kukaa milimani,milima ya moto na aliumbwa kwa uzuri wote. shetani anajua siri kuu ya milima katika ulumwengu wa roho, ndipo mashetani au waganga wanaweka miungu yao uko na madhabahu zao.
¤ shetani amtumii mtu isipokuwa amejiungamanisha nae.
¤ Mungu pia umtumia mtu walioungamana.
kumbu. 2:1-3
milivozunguka mlima huu vyatosha;geukeni upande wa kaskazini.
namna yakutoka katika milima ya uharibishu ni kugeuka...upende mwingine...shetani ametumia milima ya mawazo kumfunga mtu asipige hatua au milima ya ndugu,rafiki n.k ili usifanikiwe usivuke geuka leo mwangalie yesu.
kutoka 3:12
mtamwabudu Mungu katika mlima huu.
Mungu ana sehemu zake anazotaka kuabudiwa hapo sio kila sehemu ya ibada Mungu kaichagua.
Hesabu 22:36
Balaki amwita balaamu ili amlaanie wana izilael(yakobo), balaki akampandisha milimani ili awaone wote na kulaani.NILAANIJE YEYE AMBAYE MUNGU AKUMLAANI.
Mungu kwenye biblia alipenda sana sadaka za milimani,ibrahimu aliambiwa waende mlimani. na Yesu alisurubiwa milimani.
Toka milimani ndipo hukumu utokea ndipo wakuu wa ukoo utoa sheria katika chakula,kuzaa,kumiliki n.k.kuna familia ambazo mwanamke akiwa mjamzito awaruhusiwi kula mayai (mfano UKILA MAYAI YA KUKU MTOTO ANAZALIWA BILA NYWELE KICHWANI).
SIFA ZA MILIMA IYO YA UHARIBIFU
1.KUFUNIKA WOTE WALIO CHINI YA MLIMA UWO.
2.UMIMINIKA IMANI ZAO KUTOKA JUU HADI CHINI.
Yesu aliposema kuhusu milima alijua kuwa baba zetu wanaabudu milimani na alijua kwenye kuabudu milima ipo shida kati yake.Mungu aliumba milima ili kutunza hali ya hewa,uoto wa asili n.k.
Milima ya uharibufu ina vilele viwili. kuna milima ambayo uonesha hatima ya mtu na ipo milima inayoonesha mwanzo hadi mwisho wa maisha ya mtu.Na uwa inanguvu ya kushambuliwa maisha ya mtu.
KUSHUSHA KILA MLIMA WA UHARIBIFU KATIKA DUNIANI.
CHEK US ON:YOUTUBE@Hcc international tv
:blog @hccinternational.blogspot.com
:gmail @the harvest of jesus christ@gmail.com
:facebookpage@the harvest of jesus christ church int.
:intagram @ mavuno hcc
Tel no.0653 830567,0784 986631.
No comments:
Post a Comment