dada uyu aliweza kutoa ushuhuda ambao ulitujenga sana katika imani nakuonesha jinsi walivokuwa wanaabudu milimani na kutoa kafara za wanyama uko milimani na pia anamshukuru Mungu kwa kumtoa pale alipokuwa sasa anamwabudu Mungu wa kweli.
YOHANA 4:20-24
baba zetu waliabudu katika mlima huu,nanyi husema ya kwamba huko yerusalemu ni mahali patupasapo kuabudia.yesu akamwambia,mama,unasadiki,saa inakuja ambayo hamtamwabudu Baba katika mlima huu wala kule yerusalemu.Nanyi mnaabudu msichokijua,sisi tunaabudu tukijuacho,kwa kuwa wokovu watoka kwa wayahudi.lakini saa inakuja nayo saa ipo,ambayo waabuduo halisi watamwabudu baba katika roho na kweli.kwa maana Baba uwatafuta watu kama hao wamwabudu.
MAWASILIANO:0653 830567,0784 986631
No comments:
Post a Comment