Thursday, 31 March 2016

Tuesday, 29 March 2016

IBADA YA PASAKA

SNP.L.A.WILLIAM
SOMO:HAYA NI MAJIRA YA KUPAMBANUA NA KUJIPAMBANUA.
TAR :27/03/2016

Kupambanua ni eneo la msingi sana.Dhambi ya mtu huya pale anapofikia kujua kupambanua mema na mabaya.

                    1 wakorintho 11 :29-31
Roho mtakatifu anatifundisha kupambanua kila roho,kupambanua mwili wa kristo.
     kupambanua kunampa mtu kujua kuishi bila kupotea.kupambanua huleta kujua nyakati.lazima kujua kupambanua mana tunaishi katika maisha ya kujua kupambanua.

      Muhimu kupambanua juu ya haja za moyo wako mana wewe sio Mungu.
*kuna uzima ndani ya kupambanua
*kuna akili, kibali ndani yakupambanua n.k.

     watu wengi waliotumiwa na Mungu alikuwa wanajua kupambanua yani nikung'ang'ania kitu mbaka ujue nini kusudi lake.

                                yona 4:11
yona anaongra juu ya kupambanua mkono...

                              Muhubiri 2:12
kupambanua hekima na wazimu na upumbavu

                             2 swamwel 14:17
kupambanua memoa na mabaya

*kupambanua huleta ushindi.
       
                                Ezekiel 22:26
kufundishwa kupambanua vitu vilivo safi na vichafu.na vitu vitakatifu na vya kutumia siku zote.

*kupambanua huleta maarifa


CHEK US ON:YOUTUBE@Hcc international tv
                         :blog @hccinternational.blogspot.com
                         :gmail @the harvest of jesus christ@gmail.com
                         :facebookpage@the harvest of jesus christ church int.
                         :intagram @ mavuno hcc
Tel no.0653 830567,0784 986631.








Friday, 25 March 2016

SEMINA SIKU YA TANO

SNP:L.A.WILLIAM
SOMO:USHINDI KWA SADAKA YA MILIMANI.
TAR.25/03/2016.(ijumaa kuu)
 
   Mungu alipendezewa na sadaka za mlimani.Na sadaka nyingi za agano la kale zilitolewa mlimani.

mfano wa sadaka izo.
           
                               mwanzo 8:4
Nuhu alitoa sadaka mlimani ma Mungu akaipokea na kueka agano juu ya mvua

                               mwanzo 22:1-12
Ibrahimu akitaka kutoa sadaka ya mlimani (kumtoa isaka mwanae)

      sadaka yalimami ni sadaka yenye nguvu sana.Ndani yake imo amani upo ushindi.
 
                               1 wafalme 18:17-23
elia akijenga madhabahu ya Bwana

* madhabahu ndio inayomshibisha mtu wala sio mtu kumshibisha mtu.
*zipo madhabahu zakunyang'anya vipawa na karama za watu.

                            waebrania 10:1-10,17-20
                            yohans  19:16-20
Yesu anapelekwa goligotha kusurubiwa

wakamchanganya na waovu......

ombi: KUONDOA HUKUMU ZA KUCHANGANYWA NA WAOVU.

CHEK US ON:YOUTUBE@Hcc international tv
                         :blog @hccinternational.blogspot.com
                         :gmail @the harvest of jesus christ@gmail.com
                         :facebookpage@the harvest of jesus christ church int.
                         :intagram @ mavuno hcc
Tel no.0653 830567,0784 986631.


SEMINA SIKU YA NNE

SNP.L.A.WILLIAM
SOMO:UKAMILIFU WA KANISA.(Kunyamazisha sadaka ya milimani)
TAR.24/03/2016

        kila kanisa lazima liwe ma madhabahu ma kila madhabahu ili ikamilike lazima kuwe na kuhani wa madhabahu.

                      waebrania 12:18-29
maana humkufikiria mlima uwezao kuguswa,uliowaka moto,wala wingu jeusi na giza na tufani......

                      2 Nyakati 16:9
kwa maana macho ya BWANA  hukimbia kimbia duniani mwote ili ajioneshe mwenye mguvu kwa ajili ya hao,waliokamilika.........

                         waebrania 7 :28
maana torati yawaweka wanadamu walio na unyonge kuwa na makuhani wakuu........


                          luka 13:32

CHEK US ON:YOUTUBE@Hcc international tv
                         :blog @hccinternational.blogspot.com
                         :gmail @the harvest of jesus christ@gmail.com
                         :facebookpage@the harvest of jesus christ church int.
                         :intagram @ mavuno hcc
Tel no.0653 830567,0784 986631.


Wednesday, 23 March 2016

SEMINA SIKU TATU

SNP.L.A.WILLIAM
SOMO:KURUDISHA MAHALI PA JUU PA PAKUU PA KANISA.
TAR:23/03/2016.
 
            Unaweza dhani ahetani ndo anamahali pa juu pa uovu wake ila shatani uwa ana hamisha kutoka sehemu ya utukufu kwenda kwake.

                      Ezekiel 36:1-4
   kanisa lilipoteza mahali pake pa juu sababu hapakuwa na mtu wa kuuliza wala kwenda kwenye mahali pa juu.kanisa liliacha madhabahu ya mwanzo yenye nguvu ndo ile ya kanisa la mitume.

                     Mathayo 21:12
Yesu akaingia ndani ya hekalu........

        hii ilikuwa nyumba ya BWANA ila watu walipoacha kuabudu kuwacha moto, tayari likawa soko.Mungu awezi kukubali nyumba yake iwe soko...
   
       ndivo ilivo ata kwenye karama zetu tusipozitumia kweli kweli  shetani anauwezo wakuzichukua na kuzitumia katila falme zake.
     
        kanisa aliruhusiwi kuwa la kawaida ibada zake zinatakiwa ziwe na moto wa Mungu.Kanisa lilifanywa kuwa la kawaida ili watu wamzooe Mungu na mwishoe wasimuone Mungu katika maisha yao.

kanisa limepoteza kumcha BWANA,hakuna ule moyo ya kumwogopa Mungu,moyo wa shukrani n.k.
 
yale makanisa ya mwanzo ya mitume leo yamekuwa nyumba za historia.

mfano wa makanisa ya zamani

                             1 samwel 1:1
Na mtu huyo alikuwa akikwea kutoka mjini kwake mwaka kwa mwaka,ili kuabudu,na kumtolea BWANA wa majeshi dhabihu katika shiro.

                           matendo 8:27-32
                           matendo 2:5
watu wakila taifa walikusanyika kwenda na kuabudu

                           1 wafalme 8:22-41
suleimani akiweka wakfu madhabahu ya BWANA.

UJUMBE KUTOKA KWA BWANA.
                      .Hagai 2:4-5
                       .Nahumu 2:1-2
MUNGU KURUDISHA FAHARI YA KANISA.

                           Matendo 15:1-2

KURUDISHA UWEZA WA KANISA.

CHEK US ON:YOUTUBE@Hcc international tv
                         :blog @hccinternational.blogspot.com
                         :gmail @the harvest of jesus christ@gmail.com
                         :facebookpage@the harvest of jesus christ church int.
                         :intagram @ mavuno hcc
Tel no.0653 830567,0784 986631.

SEMINA SIKU YA PILI

SNP.L.A.WILLIAM
SOMO:KUNYAMAZISHA SADAKA ZA MAHALI PA JUU KATIKA MAISHA YANGU.
TAR:22/03/2016

kuna sadaka ambazo zinatolewa katika mahali pa juu pa kuu pa maisha yako.

                     1 wafalme 3:1-4
huyo suleimani akafanya ujamaa na farao,mfalme wa misri,akamwoa binti yake farao,akamleta mjiniwa daudi,hata alipokwisha kuijenga nyumba yake,na nyumba ya BWANA na ukuta wakuuzunguka yerusalemu........

                     isaya 24:21-23
Tena itakuwa katika siku hiyo,BWANA ataliadhibu jeshi la mahali palipo juu katika mahali palipo juu na wafalme wa dunia katila dunia.

Vifungo vingi vikiwa vigumu ni kutoka na kufungwa na mashatani wa madhabahu ya mahali pa juu.

Ombi: kuangusha mahali pa juu palipo juu pa uovu katika maisha yako.
           kunyamazisha sadaka za mahali pa juj pa uovu. 


CHEK US ON:YOUTUBE@Hcc international tv
                         :blog @hccinternational.blogspot.com
                         :gmail @the harvest of jesus christ@gmail.com
                         :facebookpage@the harvest of jesus christ church int.
                         :intagram @ mavuno hcc
Tel no.0653 830567,0784 986631.


Monday, 21 March 2016

SEMINA SIKU YA KWANZA

SEMINA YASIKU YA KWANZA WIKI YA PASAKA.
SNP.L.A.WILLIAM
SOMO:NGUVU YA SADAKA YA MLIMANI
TAR:21/03/2016

   Kila kitu hapa duniani ambacho mwanadamu atakibeba kama sadaka au kukiteuwa kama sadaka na kukinenea kama sadaka kwa ajili ya jambo fulani ndivo sadaka itakavyofanya sawa sawa na kusudio la mtoaji.Lile neno unalolitamka ndilo linalovika nguvu sadaka. mfno:-SADAKA YA SHUKRANI
                           SADAKA YA AMANI n.k
Na nikosa kutoa sadaka bila kujua inatolewa kwa ajili ya kusudi gani.

*ipo nguvu ya sadaka ya milimani.

             kama ilivo mvua uanzia milimani ndivo sadaka zitolewavzo mlimani zinauwezo wakukubalika kwa haraka kuliko za chini ya mlima.Ndivo shetani nae alivoamua kujenga madhabahu zake milimani ilikkuweza kuteka uwanda wa chini.
        
            kama ilivo Yesu kristo alisulubiwa mlimani ili damu ije chini kuleta utakaso.
mfan:-maji ni rahisi kutoka mlimani kushuka chini ila si jambi rahisi maji kupanda mlima na ndo sababu kuna tofauti kati ya madhabahu za milimani na tambalale.
   
                           Hesabu  22:15-
  shetani anajua kila kilichinuliwa kina nguvu.

                           1 samwel 9 :11-14
                           1 wafalme 3:1

*vifungo vinatofautiana vya milimani.
                 1. aliefungwa inchi tambalare
                 2. aliefungwa kwatika uwanda wa mlima
                 3. aliefungwa mahali pa juu pa kuu pa mlima
 
*Yesu alisulurubiwa msalabani ili kuzishindwa hukumu na madhabahu za giza.
*koo nyingi zefungwa na sadaka za uovu ya milimani

                            hesabu 33:50-52

NB:KUVUNJA MAHALI PA JUU PALIPOINUKA PA UOVU

CHEK US ON:YOUTUBE@Hcc international tv
                         :blog @hccinternational.blogspot.com
                         :gmail @the harvest of jesus christ@gmail.com
                         :facebookpage@the harvest of jesus christ church int.
                         :intagram @ mavuno hcc
Tel no.0653 830567,0784 986631.

Sunday, 20 March 2016

SADAKA YA AMANI

SNP.L.A.WILLIAM
Tar. 20/03/2016
Somo:KILA SADAKA ILIYOMPENDEZA MUNGU,MUNGU UTOA BARAKA.

   Mungu ukubali sadaka iliyohalali iliyokubalika kwake,na ndiyo Mungu anapeleka baraka hapo.

                       yakobo 1:17
kila kutoa kuliko kwema,na kila kitolewacho kilicho kamili,hutoka juu,hushuka kwa Baba wa mianga.......

                      mwanzo 8:15
Nuhu alitoa sadaka baada ya kutoka kwenye safina na sadaka yake ilip3leka harufu njema kwa Mungu.

*kutoa ni kugusa moyo wa Mungu.
          
                         yohana  3:16
kwamaana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu.......

                      1 wakorinth 11:23
kwa maana mimi nilipokea kwa Bwana niliyowapa nanyi,ya kuwa Bwana yesu usiku ule aliotolewa akitwaa mkate.

*yesu alitoa mkate kwa wanafunzi wake ni ishara ya kuwapa mema, baraka, mafanikio na yeye kubeba madhaifu yetu.....
   
                      warumi 9:1..

*siri ya kuwa mwana wa Mungu
...upendo
...kuvumilia
...kubebana
...kuthaminiana
...kujaliana n.k.

CHEK US ON:YOUTUBE@Hcc international tv
                         :blog @hccinternational.blogspot.com
                         :gmail @the harvest of jesus christ@gmail.com
                         :facebookpage@the harvest of jesus christ church int.
                         :intagram @ mavuno hcc
Tel no.0653 830567,0784 986631.

   
       

Tuesday, 15 March 2016

BIBLIA

SNP:L.A.WILLIAM
TAR:13/03/2016
SOMO:BIBLIA NI NENO LA MUNGU LIPASWALO KUOGOPWA NA KUTUKUZWA.

     Bilblia ni neno la Mungu ni sauti ya Mungu,wakristo wengi ndio wa kwanza kuidharau biblia,Ni muhimu kuheshimu biblia.
     Kanisa la leo linapotea sababu watu wengi wanaidharau biblia na kuhamisha maneno ya Mungu kuwa ya mwanadamu.Na wakristo wengi awana nafasi ya kusoma biblia bali wananafasi ya kusoma vitabu ya kawaida na magazeti.

                    yohana 1:1
hapo mwanzo palikuwa na neno nae neno alikuwa kwa Mungu
                   ufunuo 19:13
nae amevikwa vazi lililochovywa katika kwa damu jina lake aliitwa neno la Mungu.

         wakristo wengi awapendi kubeba biblia.kuna tofauti kubwa kati ya biblia ya smart phone na physical bible.

MAJINA YA BIBLIA KABLA IJAITWA BIBLIA.
                            zaburi 40:7
  Ndipo niliposema,Tazama nimekuja(katika gombo la chuo nimeandiwa)
               
                          Ezekieli 3:1-3
  Akaniambia,Mwanadamu,kula uonacho;kula gombo hili.........
 
BIBLIA INAITWA CHUO
                             zaburi 139:16
                             matendo 1:20
                             ufunuo 1:11

             AINA ZA BIBLIA
kuna biblia ya toleo mwaka 1967 na 1997 apo ni biblia sahihi.ila copy zimekuwa nyingi mno mfano ;MIKA 4:11 inaonesha utofauti wa biblia sio shari bali ni sari yani UTUPU.

* LAZIMA KILA MTU KUTENGA MUDA WA KUSOMA BIBLIA.

*Malaika wanafanya kazi kwa maandiko,shetani anaogopa maandiko

           MUNGU ANAONYA JUU YA KUDHARAU NENO LAKE.
     
                           Isaya 5:24
Mungu ameweka moto na shika kuu sababu ya kudharau na kukataa neno la Mungu......yapo mapigo

                           isaya 28:22
Basi sas msiwe watu wakudharau,vifungo vyenu msije vikakazwa......

                           1 wakorintho 11:22
je!Hamna nyumba za kulia na kunwea?au mnadharau kanisa la Mungu.........

                                waebrania 10:28-29
kumfanyia jeuri ROHO wa neema.... .  

***KUWA MAKINI NA MITANDAO MENGI YANAPOTEZA NA MAANDIKO  ..
**** MUHIMU KUSOMA MAANDIKO.

CHEK US ON:YOUTUBE@Hcc international tv
                         :blog @hccinternational.blogspot.com
                         :gmail @the harvest of jesus christ@gmail.com
                         :facebookpage@the harvest of jesus christ church int.
                         :intagram @ mavuno hcc
Tel no.0653 830567,0784 986631.

   
       

Sunday, 28 February 2016

SAA IMEFIKA

SOMO: SAA IMEFIKA DUNIANI YAKUACHA KUABUDU MILIMA YA UHARIBIFU.
SNP:L.A.WILLIAM
TAR: 28/02/2016

SHUHUDA ZA LEO:CHEK IT ON YOUTUBE-HCCINTERNATIONAL TV.

                    Yohana 4:20-26
   yesu alikuwa anaongea na mwanamke kisimani kuwa saa imefika ya kuacha kuabudu milimani imefika.
NENO LIMETIMIA DUNIANI LEO.

    Tuone milima katika biblia
                  Ezekiel 28: 14
     Wewe ulikuwa kerubi mwenye kutiwa mafutaafunikae;nam nilikuweka hata ukawa juu ya milima......

          shetani alipoumbwa alipewa uwezo wa kukaa milimani,milima ya moto na aliumbwa kwa uzuri wote. shetani anajua siri kuu ya milima katika ulumwengu wa roho, ndipo mashetani au waganga wanaweka miungu yao uko na madhabahu zao.

¤ shetani amtumii mtu isipokuwa amejiungamanisha nae.
¤ Mungu pia umtumia mtu walioungamana.
  
                    kumbu. 2:1-3
  milivozunguka mlima huu vyatosha;geukeni upande wa kaskazini.
    
           namna yakutoka katika milima ya uharibishu ni kugeuka...upende mwingine...shetani ametumia milima ya mawazo kumfunga mtu asipige hatua au milima ya ndugu,rafiki n.k ili usifanikiwe usivuke geuka leo mwangalie yesu.

                               kutoka 3:12
    mtamwabudu Mungu katika mlima huu.
 
       Mungu ana sehemu zake anazotaka kuabudiwa hapo sio kila sehemu ya ibada Mungu kaichagua.

                             Hesabu 22:36
   Balaki amwita balaamu ili amlaanie wana izilael(yakobo), balaki akampandisha milimani ili awaone wote na kulaani.NILAANIJE YEYE AMBAYE MUNGU AKUMLAANI.

     Mungu kwenye biblia alipenda sana sadaka za milimani,ibrahimu aliambiwa waende mlimani. na Yesu alisurubiwa milimani.

            Toka milimani ndipo hukumu utokea ndipo wakuu wa ukoo utoa sheria katika chakula,kuzaa,kumiliki n.k.kuna familia ambazo mwanamke akiwa mjamzito awaruhusiwi kula mayai (mfano UKILA MAYAI YA KUKU MTOTO ANAZALIWA BILA NYWELE KICHWANI).

       SIFA ZA MILIMA IYO YA UHARIBIFU
1.KUFUNIKA WOTE WALIO CHINI YA MLIMA UWO.
2.UMIMINIKA IMANI ZAO KUTOKA JUU HADI CHINI.

           Yesu aliposema kuhusu milima alijua kuwa baba zetu wanaabudu milimani na alijua kwenye kuabudu milima ipo shida kati yake.Mungu aliumba milima ili kutunza hali ya hewa,uoto wa asili n.k.

     Milima ya uharibufu ina vilele viwili.  kuna milima ambayo uonesha hatima ya mtu na ipo milima inayoonesha mwanzo hadi mwisho wa maisha ya mtu.Na uwa inanguvu ya kushambuliwa maisha ya mtu.

  KUSHUSHA KILA MLIMA WA UHARIBIFU KATIKA DUNIANI.

CHEK US ON:YOUTUBE@Hcc international tv
                         :blog @hccinternational.blogspot.com
                         :gmail @the harvest of jesus christ@gmail.com
                         :facebookpage@the harvest of jesus christ church int.
                         :intagram @ mavuno hcc
Tel no.0653 830567,0784 986631.

   
       

Saturday, 27 February 2016

TUMEHESABIWA HAKI ZOTE KWA NEEMA SI KWA MATENDO.

MCH.KIONGOZI: L.A.WILLIAM.
SOMO:TUMEHESABIWA HAKI ZOTE KWA NEEMA SI KWA MATENDO.

    kuna wakati kwenye maisha tunapita kwenye kipindi tunavuka katika tabu na magumu wengi wanawaza sababu wao wanahaki ndo mana wanavuka kumbe ipo neema inayo leta haki.
      hatuna sababu ya kujivuna maana atufanyi kwa akili wala kwa nguvu ila ipo neema inayoleta haki kwetu.Mungu amerihusu haki itufuate ni kwa Neema yake tu.
      Neema utuokoa,neema utubeba,neema utuvusha,neema uleta haki. yote ni kwa neema.
   
   kuna wakati tulitakiwa kufa ila neema imetuokoa.
     NEEMA ULETA WOKOVU
     NEEMA ULETA HAKI
     NEEMA UTUFIKISHA HAPA TULIPO.

                          warume 3:21-24
     wanahesabiwa haki bure kwa neema yake,kwa njia ya ukombozi ulio katika kristo yesu.....

           kumbe atupaswi kujivuna kujiinua sababu ya neema tuliyopewa...
       kuna wakati Mungu uruhusu mtu apite katika magumu ili ajifunze kutulia katika mikono ya Mungu.vyote si vyetu yule mwenye navyo alietupa sisi.

      ukiona kuna jambo lolote linakuwa gumu uweI kulifanya au alitimii basi muombe Mungu neema ya kulitimiza jambo ilo.

                       1 wakorintho 15:10
      lakini kwa neema ya Mungu nimekuwa ivi nilivyo;na neema yake iliyo kwangu ilikuwa si bure,bali nilizidi sana kufanya kazi kupita wao wote;wala si mimi,bali ni neema ya Mungu pamoja nami.
      
      paulo anasema wazi juu ya neema ya Mungu kwake.Anasema hana haja ya kujisifu kwa kuwa alifanya kazi kupita wote ila anagundua mi neema ndio iliyo mfanya aweze kufanya yote.
      Haraka ya mwanadamu aifanyi mapenzi ya Mungu.bali yeye mwenye subira kwa Bwana atakula ya Bwana.

                      wagalatia 2:21
       siibatili neema ya Mungu;maana,ikiwa haki hupatikana kwa njia ya sheria,basi kristo alikufa bure.

       vyote ndoa,kuzaa,baraka, ni kwa neema wala si sheria. muhimu kutunza neema ya Mungu katika maisha.
                 
                       waefeso 1:3-6
     Atukuzwe Mungu,Baba wa Bwana wetu Yesu Kristo,aliyetubariki kwa baraka zote za rohoni,katika ulimwengu wa roho ndani yake Kristo..........

           tumechagulia kwa neema.

mawasiliano:0653 830567,0784 986631
fbpage: the harvest of jesus christ church int.
gmail: theharvestofjesuschrist@gmail.com
youtube: hcc international tv

      

Wednesday, 24 February 2016

NAMNA YA KUTUPATA KANISA LA MAVUNO.

Mungu ametupa kibali sasa tunapatikana mtandaoni kupitia.

blog: hccinternational.blogspot.com au
fbpage: the harvest of jesus christ church int.
instagram: mavuno hcc
youtube: hccinternational tv.
gmail: theharvestofjesuschrist@gmail.com

au kwa namba za simu

0653 830567.0784 986631

WITO WETU

THE HARVEST OF JESUS CHRIST CHURCH INT(KANISA LA MAVUNO YA YESU KRISTO KWA MATAIFA YOTE)

Ni kanisa lililoanzishwa kwa kusudi la Mungu Baba kuokoa wanae duniani na kufungua wanae.kanisa lipo chini ya muongozo wa Roho Mtalatifu kupitia kwa Mch.kiongozi L.A.WILLIAM.

Tumemuona Mungu sana tangu Huduma hii ianzishwe mwaka 2012 mbaka leo tumemuona Mungu kumekuwa na Shuhuda za ajabu na Mafundisho mazuri ambayo utayapata katika.
      blog. hccinternational.blogspot.com
      istagram: mavuno hc
      youtube: hcc international tv
      fb page: the harvest of jesus christ church int.
      gmail: theharvestofjesuschrist@gmail.com

mahali:kibamba-luguluni shell karibu na chuo cha st.joseph.
      

MAWASILIANO:0653 830567,0784 986631

      

MWAKA 2016

Huu ni mwaka wa ajabu sana kwetu na ulimwengu wote,kwa wale watakao kaa katika mapenzi ya Mungu.

1.ni mwaka wa kura ya haki
yani Mungu ametupigia kura ya haki ndani ya mwaka huu yale mambo tuliyoyangojea sana miaka mingi tunayatalajia mwaka huu.ZABURI 16:5.

2.Ni mwaka wa neema ya kipekee kwetu.WARUMI 3:24

3.Ni mwaka wa kuongezekaa.MWANZO 1:28

FROM HARVEST CHURCH.

MAWASILIANO:0653 830567,0784 986631.

USHUHUDA WA KOO ILIYOKUWA INAABUDU MILIMANI

dada uyu aliweza kutoa ushuhuda ambao ulitujenga sana katika imani nakuonesha jinsi walivokuwa wanaabudu milimani na kutoa kafara za wanyama uko milimani na pia anamshukuru Mungu kwa kumtoa pale alipokuwa sasa anamwabudu Mungu wa kweli.

     YOHANA 4:20-24
baba zetu waliabudu katika mlima huu,nanyi husema ya kwamba huko yerusalemu ni mahali patupasapo kuabudia.yesu akamwambia,mama,unasadiki,saa inakuja ambayo hamtamwabudu Baba katika mlima huu wala kule yerusalemu.Nanyi mnaabudu msichokijua,sisi tunaabudu tukijuacho,kwa kuwa wokovu watoka kwa wayahudi.lakini saa inakuja nayo saa ipo,ambayo waabuduo halisi watamwabudu baba katika roho na kweli.kwa maana Baba uwatafuta watu kama hao wamwabudu.

MAWASILIANO:0653 830567,0784 986631

KUSIMAMA KWENYE ZAMU YANGU

MCH.KIONGOZI: L.A.WILLIAM
SOMO: KUSIMAMA KWENYE ZAMU YANGU.

Kila mwanadamu ana zamu zake katika maisha ya kawaida ambazo Mungu ameziweka katika maisha.
ilitupasa wanadamu kisimama katika zamu zetu(nafasi) ili kutimiza kusudi husika la Mungu katika maisha yetu.

                Habakuki 2:1
   mimi nitasimama katika zamu yangu,nitajiweka juu ya mnara,nitaangalia ili nione atakaloniambia,na jinsi nitakavyojibu katika habari ya kulalamika kwangu.

      wanadamu wengi upenda kulalamika na kunung'unika mbele za Mungu badala ya kusimama katika zamu zao.
       jua siri hii yapo mashetani yanayopenda watu wa Mungu walie machozi ya kulalamika na kwao yawe kama kinywaji.
        wakristo wengi awapendi kusimama katika nafasi zao bali wanapenda kuuliza kwa waombaji juu ya shida zao....kanakwamba mganga wa kienyeji na mteja wake.

         unaposimama katika zamu yako juu ya tatizo lako nirahisi tatizo kuisha sababu umesimama katika zamu yako kuomba.

♡KILA MWANADAMU ANAZAMU YAKE KATIKA MAISHA.

           Mashetani wanajua mtu aliesimama katika zamu yake(nafasi) na kuitumia vizuri na shetani anamuogopa sana mtu anaejitambua.

       wachawi wanazamu zao usiku kuloga nawe ikifika usiku weka zamu yako ya kuomba.

     Tatizo linapokuwa kubwa sana kwako ndo wakati wakusimama katika zamu yako kushinda nalo.

       tamali alisimama katika zamu yake kama mke akamuokoa daudi mumewe...
simama katika zamu yako utapata jibu la shida yako.

                    luka 19:41-44
       Alipofika karibu aliuona mji,akasema,Laiti ungalijua,hata wewe,katika siku hii,yapasayo amani!.......
        anasema laiti ubgelijua majira na wakati ungesimama katika zamu yako na adui asingekujengea bomaa.
        Roho Mtakatifu anahemu zamu yako inakupasa kusimama kama nikuonya onya kama nikuomba omba n.k

     kila mwenye karama Mungu usema nae na kumtumia pale anaposimama katika zamu zao.

                         yona 1:6
      Basi nahodha akamwendea,akamwambia,una nini,Ewe ulalae usingizi?amka,ukamuombe Mungu wako,...........

MUHIMU KUSIMAMA KATIKA ZAMU YAKO.

MAWASILIANO :0784 986631,0653 830567
     
      

KUVUNJA NGOME YA MILIMA YA UHARIBIFU

SNP.L.A WILLIAM 21/02/2016        ZAKARIA 4:6-7 ipo siri katika milima,kuna milima ya mwilini na milima ya rohoni.        2 WAFALME 23:13-26 jua siri hii unapoona jambo limekaa upande la kulia kwako maanake linasababu kwanini likae hapo na lina haki ya kukaa hapo na lina nguvu ya kutumia haja yake.      Ndio maana katika koo zetu kuna sehemu ambayo miungu ya ukoo inakaa milimani wanawezo wa kuhukumu wakiwa mlimani,kukufunga,kukulaani,wakiwa milimani na wananguvu sana wakiwa milimani na zipo madhabahu milimani.       Kuna milima iliyowekwa kabisa ambayo shetani ameichagua kwa ajili ya kazi zake kwa mfano:-       ZABURI 2:6   Mungu aliweka ufalme wake mlimani ili ufalme uwe na nguvu lazima kukaa mlimani.Mungu aliumba milima kama sehem maalumu ili watu waweze kusema nae milimani kumbuka musa alisema na Mungu milimani,Yesu nae alikuwa anaomba milimani ili kusema na Mungu.    Musa alipanda mlimani akaongea na Mungu,akapewa amri kumi milimani alimuona Mungu mlimani.    siri ya milima ni kuzungumza na Mungu kwa upesi.        EZEKIELI 28:14 hata shetani alivoasi aliamua kueka madhabahu nyingi milimani. mfano..inchi ya Tanzania baada ya uhuru bendera ilipandishwa mlimani(kilimanjaro).   Pia Mungu anapenda kutukuzwa kutoka milimani ndo sababu kumueka lussifa akae milima ya moto ili amtukuze kutokea apo.    Kuna baadhi ya milima inamasharti yake mingine unapanda kimya kimya mfano milima ya matambiko ya ukoo na milima ya uganga na uchawi.    Koo ambazo zinaabudu milimani ni ko ambazo zinanguvu sana na hukumu kali sana iyo ni siri ya milima. SHUHUDA YA MTU ALIEKUWA WANAABUDU MILIMANI KATIKA KOO YAO.(angalia picha na maelezo chini)      Wakuu ya koo izo wanauwezo wa kupanda milimani ili kuhukumu ili kufunga maisha ya watu iyo yote Mungu anaiita MILIMA YA UHARIBIFU. Na shetani kafunga koo nyingi kwenye milima na uwa wanatoka sadaka milimani(mbuzi n.k).      Milima ya uharibufu kazi yake ni kuharibu.            MATHAYO 4:8    Shetani alimchulua Yesu adi milimani ili amuoneshe miliki za ulimwengu ila lengo la shetani amfanye Yesu amuinami ila kristo alimshinda. Maana alikuja kuimalisha ufalme usiotikisika.     Unapo abudu katika milima ya uharibifu unakuwa upo chini ya milima iyo. OMBI:KUKATAA NA KUJIONDOA KATIKA MILIMA HIYO.                 YEREMIA 51:25 Kwahiyo dunia nzima imaharibiwa na milima hii ya uharibifu. mfano…Inchi ya china ni inchi wanao abudu milimani na inakuwa nguvu sana.       Baada ya kujua siri za milima apo unaweza pambana na nguvu zilizopo uko.       Morogoro ni mji wenye milima mingi na ndo mji wenye waganga wa kienyeji na uchawi mzito sababu ya milima.      Nakuna watu wanakula wadudu na wanyama na vitu kutoka milimani.     Hata kwenye maisha ya kawaida ya wanyama na wao wanajitenga milimani (simba na simba mlimani kwao. n.k). OMBI: KUTEKETEZA MILIMA YA UHARIBIFU.            HAGAI 1:8     Mungu anaangalia milima ili utoe miti ya kumtukuza yeye kwa kufanya kazi yake( kujengea nyumba yake).     Ipo milima ya rohoni mfano: ya umaskini,magonjwa,tabu,laana n.k.      Yesu alizaliwa katika familia iliyomaskini ili sisi tushuke katika milima ya umaskini tukae katika utajiri.            Mungu alitoa watumishi wake kutoka milimani kwenye tabu,dhambi,magonjwa ili awatengeneze wawe watumishi wake wakweli ndio o watumishi wengi wametoka katika milima tofauti tofauti na sasa wanamtukuza Mungu.            Wakati mwingine Mungu anaruhusu upite katika milima ya uharibifu ujifunze ili ukija kwa tika njia yake umtukuze katika roho na kweli.Mungu anapenda vichafu ili avitusafishe zimtukuze. OMBI: BWANA NITENGENEZE NA MIMI NIWE CHOMBO CHAKO.        yesu alipenda kuomba milimani.               EZEKIEL 35:11-15.

MAWASILIANO: 0784 986631,0653 830567.